Zappa

One weekend a friend invited us for his birthday party. Due to peasantry , yeye alikuwa anaprovide food only and entrance to his bedsitter was a mzinga.

Mimi na a friend tukaingia wines and spirits, tukasema leo let’s fire our souls. Tukacontribute 900kila mtu :zappa, lime juice na beer moja birthday gift.
Kufika maskani, warembo check, music check food check. Hiyo mzinga tulimaliza watu wawili with a few tots to the ladies we were respectively eyeing.

Midnight kelele zimezidi , caretaker akabisha akatushow huku si kwa mama yetu. Tukaamua tumalizie a club not so far away.kufika main road b. Day guy zimeshika mbaya anadai kupatiwa slices na manzi yake hapo hapo kwa barabara.

At the club I ordered one Guinness, zikanishika ×10,maji litre moja naskia hasaidii. Roho inapiga Ile design ya this the last heartbeat kijana. I went outside to get some fresh air. Far end nikaona gari parked away from others. Nika stagger hadi hapo nikajiseti vizuri na kuanza kuosha tyre. Ata sijamaliza vizuri I zip up naangalia no. plate, though my vision was blurred I could tell a g and a k. Out of nowhere niliekelewa slap kutoka nyuma nikatubu dhambi zangu zote. Zappa na Guinness zikatulia na 500 ya kuosha gari ikaenda.

hii zappa kwani inafanyia wanaume vituko aje… @Nostradumbass , eleza sisi vile ulijipata beach ukiwa umebebwa na maji.

My friend alitemea saloon car fulani hapo moi avenue mate akiwa amelewa, kumbe those guys were undercover cops, ngoja watoke nje, ile slap ya kwanza alipewa kama kuna mtu alikuwa anaibiwa riverroad hao wezi wangekimbia juu ya sauti ya hiyo slap…

Nilithani zappa ni pombe ya wanawake like guarana,Amarula e.t.c

Thought so too, very sweet

Nishawahi poza Zappa Na KC some 5 years ago, since it’s sweet, weh!!! The next day I had injured knuckles and blood on my clothing. And I had no injuries. Must have fought with unknown people.

Hehehe, inanikumbusha dem wangu fulani alikuwa anapenda Zappa. There was a time zilimbeba na tulikuwa kejani afu dem akadai twende VCT tukapimwe ama asinipee. Lo, mwanaume sijawai shtuka na kushangaa hivo. Though I was also drunk, we had to wake up the nurse at the local hospital - saa tisa usiku - apime. Don’t joke bwana, pombe yangu ilishuka hadi -19 degrees.

Go get checked

Hahaha 500 ata walikuonea huruma.
Those are 2 charges being drunk and disorderly and Malicious damage of government properties

heheehe inafaa mumeze hiyo zappa kama imewashwa moto kwa glass alafu uongeze guiness…

For what?

Ukimwi

Kwani knuckles zinaletaga Ukimwi, I had injured knuckles not bruised ones

Virusi ni vidogo sana

I test after every six months, leading from the front to encourage officers to undergo the test

…when peasantry was real hapo embakasi…Zappa kwa wingi. Next day nilijipata kwa store local pub Na Mwende kando yangu minus one tooth mithing. Kikombe ikiwa Na chai Moto nilikuwa Na wekelea serviet kwanza…mdomo ilikuwa imefura Kama yenye baking powder…

True, it is

you lack @Etiquette

Zappa hukata joints nguvu…unaeza kunywa kama umekaa ukisimama ndio unajua zimeshika

I learnt a lesson though.