zile ragga hunikumbusha pale nimetoka

#1
tulikuwa tuna dance whole nite bila kuhydrate siku izi ngoma moja sparta hawezi :mad:

mr vegas this turn ilipigwa remix mob sana

hii turn ilikuwa noma ya SP na vegas...thou their ego was so big wakakosana juu ya pu**y


hii riddim ilikuwa kali sana thou SP killed it


hii maddy cry ilitubamba sana wakati wa zile tape meria mata alikuwa anatu uzia pale 45 na 44


general degree pia akatoa yake granny

red rat who can forget dwanye ilitubamba sana
https://www.youtube.com/watch?v=0tTd-utJL14

red rat was top off the game hakuwai fanya video ata moja na akablow world wide
https://www.youtube.com/watch?v=OxQNBj1ClCg

shabba baba yao ali inspire new artist akina busy signal
https://www.youtube.com/watch?v=wH_0_pijbZY
 

Top