zurura kenya

Hapa jua tu[ATTACH=full]90428[/ATTACH][ATTACH=full]90429[/ATTACH][ATTACH=full]90430[/ATTACH][ATTACH=full]90431[/ATTACH][ATTACH=full]90432[/ATTACH][ATTACH=full]90428[/ATTACH] [ATTACH=full]90429[/ATTACH] =[ATTACH=full]90430[/ATTACH] [ATTACH=full]90431[/ATTACH] [ATTACH=full]90432[/ATTACH] [ATTACH=full]90433[/ATTACH][ATTACH=full]90434[/ATTACH]

5 Likes

Wahhh jua kali huko.Usije kutudanganya umefikisha threshold kukiwa na joto namna hiyo :smiley:

2 Likes

ulisema unaenda kula @old monk choma. wapi mbisha yake?

1 Like

Chonyi ya wapi huku? Vipingo?

1 Like

huyo ni juma kubavu anatembea na kisu

3 Likes

threshold unafikishia ndani ya maji

baobab tree nilionanga tu kwa vitabu za geography

[ATTACH=full]90438[/ATTACH] [ATTACH=full]90439[/ATTACH] [ATTACH=full]90440[/ATTACH]

4 Likes

Huku Ni nyingi. Zinaitwa mbuyu

1 Like

Ukiingia huko takaungu inaweza buy fish fresh at super throw away price.

Kuja niku import kilifi uone

2 Likes

Gay brigade wako njiani

2 Likes

@muria.mboco and @KinduKiega are the two of you related in any way?

Nope, but mboco ni @KinduKiega …gia kùria

5 Likes

Mnarani…

1 Like

Umasikini kweli umekidhiri huko :frowning:
Walichukua kura hawa wasela? :smiley:

Na ya next ndio hio ktalk

Bana you can imagine these guys will be chasing us away watu wa bara, wabaki kwa hizi shacks… .siiida tu

Have you noticed how phenomenally Kilifi county has developed? How did you find Mtwapa, Kanamai, Kikambala and Vipingo? That area around Vipingo Ridge and Shariani is slated for even more phenomenal development. There is are upcoming university, an hotel and an affluent residential estate that will change the profile of the area completely!

1 Like

Prophile ni wewe

Alafu those developments are not by the locals, ask around and know who lives around vipingo ridge, The classy mansions coming up at kanamai,the epz factories,
Hapa the locals have been left with kibarua jobs, kubeba kokoto na bucket Ama kupanda nyasi during landscape, na kupikia watu kwa kibandanski… .anyways acha waendelee kuwika tumbilee na Naswa