01/08/2018 ya Mangelema Kimambi

Unaelewa kweli?
Sijawai kumfuatilia mimi kama mimi ila naskia watu wanamzungumzia kama nyie hapa, wakati sioni impact yoyote kwake.

Umejuaje hana hoja kama hujawai kumfuatilia…

Rudi tena uendelee kumfuatilia siku hizi ana hoja za maana sana hasa kwenye siasa
(Mange ana umuhimu mara 10000000 kwa taarifa kuhusu siasa za bongo kuliko TBC)

Siyo mpenzi wa siasa za kitanzania, ila naskia skia tu, tangu nimskie mange kwa watu na harakati zake za maandamano ni ovyo sana anatafuta kujulikana, kipi ambacho kimesambazwa na watu kupitia mitandao kuwa ni harakati za mange na kutimia?

Hapo ndyo mujiulize hakuna wa kumwamini hata hawe nani, mtaishiatkupga kelele kisa mange,tmara nani, yule ana maisha yake kwahyo kuendlea kumfuatilia yule mdada ni kuoteza muda tu.

Unamfatilia ndugu…mpk unajua kuwa hana hoja umejuaje? Kwa kusikia kwa watu?

Hukuona serikali yako ilivyoleta polisi barabarani, kufunga watu na kulipa askari posho pasipo kazi kwa kuhofia maandamano.
Na diaspora waliandamana kwa influence ya nani.??? Acha chuki binafsi Mkuu kwenye ukweli sema tu JIWE huku hayupo.
UTAPATA TABU SANA kama ukiendelea na mitazamo ya kuigopa siasa akati inakuhusu

Kakosa sakramenti ya upadri tu!

Kuamini maneno tu, wengine sisi ni kina Tomaso

Mkuu anajifanya yeye hafuatilii ishu za kibonGo, hawa ndio wanajifanya wanajua kumbe hawajui hawajui wanajua

Siyo kwamba naiogopa serikali, nachoweza kusema ni kuwa hata muongee vipi, mutaishia kuongea pasipo na vitendo, watoto wa mtaani wanasema ni MANENO DHIDI YA VITENDO, kwahyo huyo dada sioni kama ana mchango wowote kwa hapa Tz, kupitia kwa watu sijawai kumuelewa.

Unaweza kujifanya unajua kumbe haujui kuwa haujui pia, kwahyo kumfuatilia mange ni upuuzi, ipo siku mtashangaa anarudi kwa nzi wa kijani mtabki midomo wazi.

Hilo sisi halituhusu yatakuwa ni maamuzi yake vile hakuna anaempangia, mbna Mkulu wa nchi tunamfuatilia na bado anatuacha midomo wazi mara kibao tu.

Inaonekana Mkuu unapenda sana Umbea.
Acha umbe wewe usipende vya kuambiwa afu unakaa unajifanya unajua kumbe ni umbea tu umeambiwa, unaamini vipi source zako. Yule dada kafungua akili za watanzania wengi tu at least wamejua nini kinaendelea kwa maneno na kuwaonyesha picha pia na baadhi ya mambo serikali ilirekebisha baada ya yeye kuyasema.
[SIZE=6]“Akili za kuambiwa changanya na zako” [/SIZE][SIZE=4]na ili uchanganye na zako ndio mfuatilie ujue yaliyomo yamo[/SIZE]

[FONT=courier new]Acha ’ Undezi ’ wako tafadhali mbona utiririkaji na usererekaji wako tu unaonyesha kuwa Wewe ni miongozi wa Wasoma ’ Nyuzi ’ zake kwa umakini kabisa na tena 24/7?[/FONT]

Wapi kunaonesha mim ni msomaji wa nyuzi zake?

Tatzo hatuelewani, mim siyo msomaji wa hbri zake, bhali nakutana na maneno ya watu kumuhusu yeye ambyo naona hayana faida hata kidogo.

Inawezekana haujui umbea unakujaje kwangu bdala yako ni kuwa haujijuikuwa wewe ni mmbea, maana unaamini umbea kupitia kwa wambea wenzako, mange kaongea kipi ambacho unadhani kimefanyika?

Na ndiyo maana ameambiwa KAA ULE… lakini ni kama Sikio la kufa…

Siyo Mangelema tu peke yake hata wewe Unafuatiliwa na ndiyo maana tupo Uhamishoni…

Sasa umenielewa…KAA ULE PYEEEEE PYEEEEEEEE za nini…!!!

Hata mie sijui

Kitulize basi Mkuu, naona tunabishana umbea tu