24 Hours of Le Mans

@Gio , do you want to try a Kenyan version of Dakar

@Meria Mata ,@introvert and 3 more anonymous KTalk elders are in the mix

Sina haraka na kufa, I still have a lot to accomplish.

Hiyo pia iko kwa bucketlist yangu pamoja na Dakar Rally. Lakini isle of man inahitaji balls nne na uwe na nothing to lose

Nilikuwa porsche lakini wamezidi. Nimeenda Toyota.

Would like to come spectate, don’t have a machine that can take such a beating

Hata wale huenda wanesmanga wanaenda wawin then warudi…wueh. The race that keeps on taking.