32’ Tv Led Display Replacement

[ATTACH=full]158004[/ATTACH]

…Kama glass protector ya simu??? :D:D:D:D, hiyo hapana General.

nunua ata kama ni tcl,ama tls nani cheap nilikuwa na sharp 40 inches nikaangusha nikiwa mlevi nikijaribu kuconnect ma cables. nililetewa na jamaa kutoka luthuli tcl android smart 43 inches mpya 25k though huwa 44k…na iko sawa

kuna tv huwa zinakuja na protectors but rare to get them…you cant even notice ziko nayo i have seen several samsung na lg 72 inches

kuna skyworth ya 22k na inaona tu poa.

@Tommy Lee Sparta ako na brand ya TV sasa?

I HAVE A 40 INCH SAMSUNG WAPI HUKO NAEZA UZA 7K?

hehe…hio watanunua 3 to 4k ama ata 2k
@gashwin unauliza nini

Unamjua TLS? ni Gwiji wa kijiji…

hehe namjua but tlc tv imekuwa replaced na tls tv

Hata yangu ilipasuka after my kid pulled it down. Bought a new one and mounted it.

Now I know. Thanks for this.

in future will connect me to that guy nikidai

[ATTACH=full]158044[/ATTACH]
Namna hii?

um

Naona umeletea hadi wanakijiji mbisha ook

Hehe same height as his

Replacing that screen itakuuma zaidi, buy a new TV.

Nunua wall bracket vile umeelezewa hapo juu.

21000[ATTACH=full]158086[/ATTACH]

Hello bro, pole kwa masaibu. Am the one and only village electronics supplier here KTALK and beyond.
For smart tvs
32" TCL, Skyworth, TLS kam na 21000 only
32"Digital TCL, Skyworth 19,000
32" Digital Hisense 22,000
32"Digital Samsung, LG - 24,500
For more information kam inbox nikujenge mali poa at friendly price.
FREE DELIVERY WITHIN NAIROBI

[INDENT]Here is a Tv i sold and did the wall mounting for a client in KIAMBU. [/INDENT]