39yrs ago

[ATTACH=full]377242[/ATTACH]

Blame it on tinga!?!? BLAME IT ON TINGA!?!? Aje sasa.
Lets say buda ni mlevi mnalala njaa halipi fees anapiga mummy na amepea mboch mimba na amewacha madeni kwa mama mboga…halafu first born ule amekoma kiasi ameamua ku stand up for siblings and mum…unataka kusema first born ni mjinga mshenzi amekosea baba…damn…no wonder ruto is assured of victory next year.
Kenya haiku anza kuoza on that day my friend…that was the dawning of a new era…kina tinga wanafa kupewa heshima for initiating activism and the fight for civil liberties.

Now that we will never know…but yes chances are.
By the way watu huenjoi wetangula but kuna venye anafaa apewe heshima yake kama elder…within the last 2 weeks i was with wananchi kwa base ya kushona mandula…kulikuwana mjadala ya kufufua coffee planting in cendro and other areas such as kisii bungoma kach…for a person like me sikujua these 3 areas were once strongholds za coffee planting…and maybe even gave cendro a run for its money when it came to coffee farming…alikuwa anadescribe hizo base zote ma cooperatives zote ka nonsense…halafu aka describe kuna jamaa alikuwa anaitwa ‘karakacha’ lunje for ‘agriculture’ who was an extention officer who would walk from compound to compound inspecting coffee bushes…and if they werent well taken care of…karakacha would call out your mum and dad and nyorosha them viboko ya mgongo for neglecting the coffee…because ‘it wasnt enough just to plant coffee…but you have to take care of it’.
Oya mikel if you stumble upon this can your wazees confirm seeing any of this?
& by the way karakacha would woop your dad and mum and theyd do jack about it.
Big up Wetangula.

Things that never happened, Season 12, Episode 2.

Wewe mbwa ya kasarani, ni Sunday banae wacha tupumzike.

tulisema wazee wahame kwa hii kijiji chetu

Wacha zako weka hapa mahali nmecopy

…nilisoma Kwa daily nation. Section Fulani hapo…but isikupee stress

Kitambo kuokota pesa was very common especially around end month. Kuna mzee najua aliokota yenye wezi walikua wameiba kwa bank.kwa ile hali ya kufwatwa na polisi wakarusha msituni mahali…hapo ndio vile mzee alibahatika.

He was very brave, many prominent lawyers walihepa hizo kesi, it was a sure way to your grave

Kwani how old is man Weta na how long has he practiced law. If alikua advocate 40 years ago he must be pushing 70 but it does not show

Such stories were common in the past

Does the original story have the Mbitika character in it?

Some section has been borrowed Bwana chifu…

Sijui risto poa…but nakumbuka kwa one of these documentaries za history ya kenya alikuwa interviewed akadai immediately after campus he was appointed as a judge or something…but he wasnt comfortable with adjudicating aka quit akaingia lawyering…iyo documentary ili air this year or last year…so kama alitinga campo kama amengia works…you can estimate.
Story kama hio.

The original coup plotters were a guy named pancras and ogidi. Ochuka joined them later on, but since he had recruited a larger number of soldiers than the others, he was installed as the chairman.
Kutoka hapo mnatambua vile kuliendelea…

Alikua magistrate, na akasema he was wasting his degree condemning walevi, loiteres, malaya and petty thieves. The job was below his intellect, so he quit.

Can you tell us more about this Col Ochuka. Like alitoka wapi, education levels, professional background. From what l gather he was not the sharpest tool in the shed. Alafu what was his connection with the Odingas, kama Oginga alisponsor the coup, where does that leave poor Ochuka. It’s most likely he was a pawn for the richer politicians esp Raila

There you go…kuketi kuskiza kesi za aibu ndogo ndogo ndio hakuwa anataka…wazi mzeiya.

How did you call them?