Vita za bar zingine ni za ujinga I almost killed a man juu ya kuniita humbwer.imet him years later hanijui but he is badly scarred
Sema tu ilikua wewe on the receiving end. Lakini vita za bar, zinaweza anza ata ati juu mtu amaekuangalia “vibaya” :D:D
That’s true
Nope he was,alikula hasira za kutoka operation Northern kenya.I never drunk in that town again
Pole kwake haha
You must be a karomojong,Turkana or someone aroung those regions,I have a cross breed karomojong friend with a huge fake tattoo on the hand
spot on
yangu happened the same way and eventually my toe was cut…I get to think parents were ignorant so much…they kept saying itapona itapona but didn’t materialize
ouch lucky me haikufika hapo maze
uzuri haikunizuia kuingia kilo alpha
but upto date huniuma juu it could be treated
Bado uko kilo alpha?
Gaylord uko na kelele
lakini hutawahi ingia special forces, utabaki kuwa AP
Hata ya kuona na macho ni shinda, khasia. Amesema he’s already in KILO ALPHA [SIZE=2]male[/SIZE]
ni ile jinga za kupeaniwa hongo,hakuwa recruited genuinely
hata wewe hongana uende mahali unatamani nanga hii
Mimi nilingia special forces through recruitment na nikastaafu honorably ,ni wakati hio soldiers were soldiers
So ulikuwa kisosi cha nyama ama?