A naked Blueline at Juja

Sasa, watu walikua wanakuulizia wakidhani ulikua kwa ile accident ya voxy huko bypass

I hope you learnt a lesson

:D:D:D:D:D:D:D:D

I can only envy ya balls. Uliikuwa unaibia polisi. Tena mdosi…
Endelea na hekaya serre…

Hehehe. Bora uhai…aibu haina faida…ubaya ni ukutane na ngarofredi ukiwa ndithi

:D:D:D:D

@introvert grab your crayons. hii lazima ichorwe

:D:D:D:D:D:D:D:D.

Bado sijanunua foxy. Plus am a careful driver.

:D:D:D:D

ningekwambia pole lakini ni u-kichwa uji kuibia polisi au mtu mwingine yeyote…

Enyewe hio ni shinning eyes on a different level altogether yaani polisi kwanza inspector :D:D:D

:D:D:D

:smiley: :smiley: :smiley: :smiley:

hii ndio umuhimu wa kuvaa Boxers

:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D

Alifanya poa. Greed is what this Nation is ailing from.

:D:D:D:D:D:D:D Pink Panther Gang: The Stone Thieves.

Yea, he should even have DFed him kwa mkia ili iwe funzo…

I was terrified after facing certain death but i dont know what came over me nilikaa hapo chini kwa stage nikacheka juu ya relief nkaona watu wameanza kujipa shughuli majamaa wakaanza kusema huy

Huyu ni chizi ama kuna kitu ya wenyewe amaechukua…, the tarmac was hot so i stood nikavuka iyo side ingine ya kuenda highpoint nkapiga raundi nikitafuta kitu ya kuvaa saa hiyo nimefuatwa na wasee mpaka watoto all walking behind me chatting animatedly in kyuk watu wakatoka mpaka kwa maduka na mahoteli kunitupia jicho. Nkaona place ilikuwa inauzwa zile shorts za nylon huwa shiny na fake made in China football jerseys nkanunua na zile maslippers huwa nono nkavaa na kuenda kuchukua gari ya thika., kufika town nkachapa mbio hadi kwa tuktuk na kupelekwa kejani. Nkaingia na kulala hadi usiku. Thats how i came to value honesty and transparency in business dealings.