Adams suit

Nice article

Kuna mrembo nilikua naenda kamua kamukamu hapo kaa chonjo nyuma ya hio kanisa.hizo nyumba hua zimejengwa viajabu sana

:D:D:D:D

laughing all the way!

hekaya timam

:D:D wacha ufala

@wacha ufala unaitwa hapa

Anko wachanga uchoyo Wa biscuits na Wa hekaya mzuri kama hii

[ATTACH=full]57551[/ATTACH]
Karibu mrembo

@alll…thankyou so very much for reading…am humbled…nyinyi ni wetu. I bow…

hahahaha

:D:D:D:D:D nimecheka kama fala

Jina la huu mtaa ‘Dunga unuse’ lilitoka wapi?

Una bahati ni watoi walivutiwa na Tom & Gerry. Ingekuwa shiny eyes ungepata TV na Ampex onge!

Boss, have you considered professional help!

,…JUMPS THE LONG READ TO COMMENTS

Hapo kwa cartoons tuko pamoja ankol, na si anthem ya JP!!! Hata digestive bado tuko pamoja tuuuuuu.

Hekaya kutoka kata kuni m4

Sijasoma

nimeona mabenda4 -hekaya nikaweka laptop chini, nikaenda kuchemsha maji ya kahawa, nikajiseti kwa sofa miguu juu ya meza nisome. Hehe. Not dissapointed. Itabidi lakini uninulie cushion mpya juu zimepata stain ya kahawa nikicheka kama wazimu…:D:D:D:D:D

hiyo area ya kaa chonjo:D:D

;););)kukaa ndetheeeeeeeeee.ama kinui.