Admean Saidia Watanzania, wako saidi mbaya kabsaaa

Huku kwetu ukimtusi member unapata ban papohapo.

mfundishe kiswahili.

swahili ya kenya ngumu sana aise duuuu

Hio si swahili ya Kenya. Kuna Swahili ya Kenya na Kuna Lugha wakenya hutumia kuwasiliana. Tunaeza code-switch wakati wowote bila wasiwasi lakini wenyewe kwa wenyewe, tuna Lugha yetu sisi wenyewe twaelewana.

We jamaa unatupa nyembe aisee

Upo kwenye joto?

Unaogopa waTanzania tunavyoimeza KenyaTalk…

Tulia, ujifunze mengi

Cc: @Mahondaw

Aiseee

?? Buda kula breeze bado we ni student.