Admin threatens Mike Ock

Hapa na support alphachieth . u dikteta tuliachia papol na monkey

Here is an even longer one.

Mimi sifikiri ni poa mtu kuiba bibi ya wenyewe. Pia si poa mtu kuacha bwanake kudandia vinofu. Kuchangia au kukanusha hoja hutegemea maoni ya mtu binafsi. Usilazimishe watu kuegemea kwako. Convince them to take your position using reason. Na ujue wengine wetu bado ni wanaume wa kiasili hatujaconfuse na modernity ya kurukaruka ndoa. Mtu akifanya hivyo ataitwa malaya.

Mtu kunulia bibi ya mwenyewe lexus?!

Sipendi umeffi mimi. Taktak chieth.

Hiyo si opinion. Hiyo ni umeffi. Kikuyus wengine wanapigwa shoka, wengine wanapendwa. Na ukileta za kupiga wakikuyu shoka bure tutakuwekea hivi…:meffi::meffi::meffi::meffi::meffi::meffi::meffi:

Siunajua?