Admins napendekeza kuwa replies zote kutoka threads zinazofanana kuwekwa katika thread moja.

Bora hata wewe una akili kidogo

Naona mkuu bado unaendeleza Utumwa, “English is just a language kama kijaluo tu”.

utaunganishaje uzi kila mtu ana hoja zake,kuna mtu mwingine kupresent kitu hajui kwa hiyo hata wachingiaji hoja hapati