Kabisa Mkuu wale wote walioamua kujivisha UZWAZWA wa kuunga upuuzi na udikteta, wizi na madudu mengineyo yote ya dikteta KAMWE dikteta hatawagusa, na hiki ndicho kinachoendelea sasa ndani ya Serikali. Dikteta Ndugai na Tulia pale mjengoni na mtoto wa dada yake Dotto A James ambao wanaomrahisishia uchotaji wa trillions pale hazina bila idhini ya Bunge hawa hawataguswa kwenye nyadhifa zao hizo labda wenyewe wamwambie dikteta wamechoka na hizo nyadhifa.
Huyu Magu anachojivunia ni hiyo Tume ya uchaguzi ya CCM ambayo anateua wajumbe wake wrote, kwa hiyo anaamini kuwa “atawaamrisha” watangaze matokeo ya uchaguzi yatakayomfurahisha yeye
Tukija kwenye Policcm, hao anajua anawamudu, kwa kuwa yeye ndiye Commander in Chief, anajua anaweza kutoa amri yoyote ile hata ile haramu, kuwa Jeshi hilo lipeleke magari ya washawasha popote pale ambapo anaona wananchi wanaprotest, na huyo IGP Sirro alivyo zuzu ataitii amri hiyo haramu!
Lakini wanachosahau hao mabwana ni kuwa katika histiria ya dunia hapajawahi tokea popote pale duniani, watawala wakaamrisha majeshi yao, hata kama yana nguvu kiasi gani, yakaweza kuzima nguvu ya Umma!!
Mimi siyo mtabiri, lakini kwa hili naliona wazi kuwa ipo siku, Magufuli na hao Policcm wake wakiongozwa na huyo Sirro wataburuzwa kwenye mahakama ya kimataifa ya The Hague, kwa mama Bensouda kwenda jibu mashitaka yao ya kiwatendea unyama wa kutisha watanzania