Ahadi ya kukutana na Mupenzi

Dakika ya 75 bado 1-1

10’ it’s more dan enough! If there’s a problem a think he’ll let me know kabla muda wa kuonana kutimia!

Hii ahadi ya kukutana na mupenzi imebaunsi

hahahahahahaha lol!

Aisee weye si wa mchezo mchezo Sakayo. Mie nathamini sana muda wangu na muda wa watu wengine lakini mmeahidianna kukutana mahali na mpenzi ni lazima uwe mvumilivu wa wakati and provide him more time than 10 minutes. Akichelewa 12 minutes halafu hakukuti anaweza kukugeuzia kibao ili uonekane wewe ndiye mweye makosa.

Kwenye time mie sitakagi utani kabisaaa! Ndo maana nkasema time ya kuondoka nitamwambia ! Kama ako sehemu ya 2’ ndo afike atasema hapo naweza subiri… Na iwe 2’ kiukweli sio 20’. Linapokuja suala la kukutana na mpenzi wako ni lazima ujue umuhimu wa kuwahi, ratiba zako zikae vizuri kabisaaa kama ilikuwa tukae lisaa limoja wewe ukaja baada ya nusu saa kupita what’s da point?!

Okay but kukutana na mpenzi kwa saa moja tu? Hapana banaa labda lunch break ili muwahi kurudi kazini.

Inategemea lengo la kukutana ni lipi

Just to spend time with mupenzi to enjoy each other, and mind you there are so many ways for lovers to enjoy each other besides kuvuana picchu ;);):wink:

Hahaha

Umeona eeh! Lol! Hahahahaha au inategemea ntu na ntu!? Wengine ni kuvuana picchu tu kisha each mupenzi anashika kumi zake :stuck_out_tongue:

Inateegemea ntu na ntu

:D:D:D mimi uvumilivu wangu mwisho dakika 20, haijalishi nasubiri nini. Zikipita dakika hizo sipigi simu wala kutuma sms, na hata kama unafika muda huo, kwa kuwa nimeshaamua kuondoka basi ni lazima niondoke…

@Sakayo njoo huoni huku Bishop Hiluka kaongeza zile dakika zako times 2 halafu yeye ni kama mimi hakuna simu, wassapp wala text message. :cool::cool::cool:

Yeye ana moyo wa huruma sana kwenye muda. Tofauti ni kwamba yeye anaondoka bila kutoa taarifa na mie natoa taarifa.Bado tuko sawa tuu

Ili mtu akuheshimu ni lazima kwanza uitambue thamani yako na usimamie kile unachokiamini, ukikosa msimamo unaweza kuwekwa hapo hadi kesho na bado ukabaki kucheka cheka…

Hizo dakika 20 mara nyingi kama nimekuheshimu sana, vinginevyo zikishapita dk 5 tu akili yangu huwa inabadilika kabisa…

Kabisa Mkuu kama thamani yangu naiweka juu siwezi kumruhusu yeyote yule aishushe kwa namna yoyote ile. Usipojithamini hakuna atakayekuthamini.

Hahaha
Mimi zikipita mbili huwa naanza kuwaza kuondoka. Mpaka zifike kumi huwa nahisi nyongo inataka kupasuka! Ni dharau kwa kweli mie naonaga ni dharau tena kubwa sana

Na hiyo ya kumsubiria mtu 30’ ni kumfanya ashushe thamani yako!