Ahsanteni Kenya Talk bado tuko pamoja huku ni nyumbani pia

Mimi huku nimehamia, hapa nakamilisha taratibu nimiliki kiwanja nijenge kabisa, JF ya Tanzania siiamini kabisa siku hizi…

Mie pia bado nipo jamaani. Lol

Na huku ushakuwa Mzee wa Kijiji unaondokaje?

Hahahaaa. Ndio hapo sasa.

Kweli kabisa

kenyatalk jana na leo.

Tupoo

[i][b]Siku za usoni=siku za mbeleni, siku za hivi karibuni zinazokuja/kukaribia kufika.

Kwa kiingereza sjakosea ni ''coming soon"[/b][/i]

apana ni “in the coming days”,“days to come” ama simply “future”

Murudi kwenu bongo,jamii ipo hewani hukooo

Leo nimeingia huku kwa kutumia application ya KT . hapa sasa pamoja sana

Tulikuwepo kitambo na bado tutaendelea kuwepo kt