Ahsanteni Moderators wa KenyaTalk.

Tayari nishamuita na kashafika

Karibu sana Mkuu

Fanya hivyo mkuu.

Ahsante moderator,

Tunawaomba muweke majukwaa yote kama yaliyokuwa JF,

Majukwaa kama Chit-Chat, Celebrites, na mengineyo bado hamjayaweka

Karibuni huku, mwaweza kuchangia mijadala tofauti inayowapendeza.

Kwa kweli ni jambo la kushuru sana
Wametufariji wakati huu wa majonzi

Sawa mkuu, tutapambana na Kiswahili cha wenyeji wetu ili tuweze kwenda sambamba kwenye mijadala hiyo

Daah…nimefurahi sana aisee. Ngoja nipige tena kelele…woyooo woyooo woyooo

Mkuu nimewafata…

Tangujana nimealika wengi pia, watajua tuu nadhani ndani ya wiki 1 wake zangu Inna, Demiss, Mbitiyaza Miss Natafuta, Miss chaga nk watakuwepo hapa
[/QUOTE]

Usimsahau Ontario,

tumekuwa wakimbizi

Tangujana nimealika wengi pia, watajua tuu nadhani ndani ya wiki 1 wake zangu Inna, Demiss, Mbitiyaza Miss Natafuta, Miss chaga nk watakuwepo hapa
[/QUOTE]

Usimsahau Ontario,

Hahahahaaa

wana mshatia maguu kitambo

Tuna mprove jiwe namna anavyofeli

Safi sana mkuu huwa ananivuta

Supported!

Much respect!:cool:

Wooooooooooyyyyooooo

Mlete mbebezi wako basi