akimaliza kwetu atakuja na kwenu

Serikali ingeenda Dodoma na shinyanga ikachukua ng’ombe ikasema imepata soko, wawachukue kwa malikauli alafu ichikichie na pesa zao ili na wenyewe wapate akili.

Halafu naona siku hizi Magu kawa mpole sana. Pesa kaishiwa siyo? maana kuchacha…

Michezo ya kutekana imempa rahana kubwa sana. Kuna watu wana Damu ya majini, ukimtoa damu lazima na wewe damu itakutoka tuuuuu

Naona ile laana ya kula rambirambi za Bukoba inaendelea kumtafuna

Mkulu anatunyoosha wote, wanaomsifia na wasio msifia

:D:D:D

Wajinga walifikiri ule mziki ulikuwa wa CDM pekee; na bado; Lissu is always right… mziki unaendelea cha msingi kila mtu kuucheza kwa namna apendayo

[FONT=tahoma]Anguko kuu shida ya kutokubali ushauri na kujiona ni jeshi la mtu mmoja badala ya kufanya kazi kama taasisi hofu zimewajaa watumishi hakuna mwenye ujasiri wa kumshauri.[/FONT]

Hahahahaha

Ipo Kazi

Kwenye kahawa nako tayari ameshaingia ni marufuku kuuza kahawa tofauti na kwenye chama cha cha ushirika!!hata kama una gunia moja kwanza kuwa member ni tsh.50,000/ na kilo moja kwa sasa ni 1000,nayo utalipwa badaye!!wakati kulikuwa na wanunuaji binafsi pesa yako unapewa hapo hapo!!!

Nasikia alishawaza kwa sauti kuwa watumishi wa umma wastaafu na umri wa miaka 55, sasa mbona hawapeleki mswada bungeni?!!!

Yanasikitisha sana…

Cc: @Mahondaw

Mkuu hili chaka tulilo ingia haijapata kutokea!