Alafu kuna hizi odds

bookies ni nani?

Mimi niliitishwa bank statements ata kabla niweke hata bob. Identification pia lazima. But wakati walikataa bill ya stima ati nitafute utility bill ingine nikawachana nao…

Salala na vile Mimi post office nliacha ata kuenda ku pick mails

a bookmaker…

Zportpesa, betika, betin, bet365

Ebu tafuta KYC kwa hio zite yao… ndio utaona conditions… Huko bet kukamua sio ngumu; kwanza after kushaftiwa na sportpesa - but kuingia jo!..

Kuna yenye nlieka na jokes. Am showing you coz sai nashindwa ku concentrate tumureffi tuna nisumbua[ATTACH=full]254561[/ATTACH]

Mimi niliupload receipt ya KRA ya kitambo wakaitikia. Pia birth certificate , driving license.

:eek:

Iyo pande ingine ya studio anderlecht inachoma alafu swara ni ati ime happen iko kwa betslip mbili za mwisho. Wacha nirudi kazi

Wamesema pesa lazima itoke venye iliingia[ATTACH=full]254566[/ATTACH]

Anderlecht games tatu imekamuliwa, bado unaona ikitoboa kweli? Game imeisha ma bado?

Sasa juu Serikali ya walevi imeamua kutushaft itabidi nirudi huko kujaza form tena…

Ndio nimechungulia kwa flashscore nikaona imekamuliwa ikaona vimulimuli… Anderlecht ni meffi oflate…

Hio kitu ya russia si niliskia pia wanataka ujaze KYC ndio upate pesa? Hizo sites huwa siguzi. Pesa inaeza kwama huko…

Nili Kiff up mapema vile 2nd goal ili ingia, kwanza ile swara ya kina khocha @uwesnake samir nasri ndio ilianza kufunga nikajua Kwisha form ilikua kuosha mguu na kulala

:D:D:D