Alcohol choose me

Kataa hiyo

Kataa hiyo

Poor planning. And to think all that liquor ended up in a urinal somewhere. :frowning:

Wapi yule mjamaa wa 30K salo ajionee mambo?

Hii pesa ulitumia vipi?

1 Like

@Purr_27[ATTACH=full]13471[/ATTACH][ATTACH=full]13471[/ATTACH][ATTACH=full]13471[/ATTACH]

1 Like

[ATTACH=full]13476[/ATTACH]

Kwani 30K ni mizinga ngapi?Tatu tu? Unless ni za kariobangi light industries.

Wewe ni coomer sana, mzinga ya mkulima mdogo kama mimi ni 3-5k kwa bar. Welcome to my life!

wacha kushika feelings kama mama ako na mimba,Tulia buda how much does Blue Label goes for Mtaani?Ama nakupa halucinations

Hiyo inaitwa mid morning glory

1 Like

Anza Ka-SACCO. hehe.

He was ‘sic’ tipsy…‘hic …cup’.

Inaitwa kut**** pesa… to*** kabisa iishe

1 Like

ponda mali kifo naja

Basi inakaa quail ulinunua na pesa mbaya juu makali ya hio pesa ni yq kulewesha bar mzima na uitwe councillor…

[ATTACH=full]13515[/ATTACH]