ALI KIBA ACHAMBUA UDHAIFU WA HOJA ZA MWANASHERIA MKUU SWALA LA EXPORT LEVY YA KOROSHO

Naam, yeye ndiye. usichoelewa hapo kitu gani?

Hapa sio mimi, ni Ali Kiba, tukonaye kwenye group moja la WhatsApp, ndo huko huwa ninachotaga mavitu haya na kuleta huku. Wewe mwambie admin wa group la WhatsApp linaitwa CRITICAL THINKERS aku add, utakutana naye huko.

Hivi hii “Cashewnuts Industry Development Fund” inauwezo wa kubadilisha wakala wa kumkusanyia hizi “Export Levy” zisikusanywe na TRA?

Asante kwa nondo nzuri, hii sasa inaanza kunifanya nianze kuiona taste ya JF ya home.

.

Kwa Mujibu wa Kifungu cha 5 (1) (a) cha Sheria ya Mamlaka ya Mapato Tanzania, 1995 (the Tanzania Revenue Authority Act, 1995) kikisomeka kwa pamoja na Haya ya 10 ya Sehemu A ya Jedwali la Kwanza la sheria hii, ni TRA pekee yenye mamlaka ya kukusanya cashewnuts export levy yaaani hakuna mamlaka nyingine isipokuwa TRA tu.

Ahsante mkuu.

Ali Kiba huyu huyu???

Wewe Leta tu maana mimi ni shabiki wake mkubwa hasa kwenye haya mambo ya kiuchambuzi!!

Huyu Ali Kiba hawezi kujiunga huku? Huyu Ali Kiba anaflow sheria kama Tundu Lissu. Huyu jamaa yupo vizuri na kwa kiasi fulani anasaidia sana kupunguza pengo la kukosekana kwa Lissu.

Acha dharau unamjua vizuri Ali Kiba,Kama anaweza kuandika nyimbo kwanini asiweze kuandika haya,…

Mbona Magufuli alisema "light track " badala ya “Right track” hukumshangaa

King Kiba katika ubora wake

Karibu sote tumemfahamu Ali Kiba kwa sababu ya fasihi matamshi inayoanza na uandishi.

Ali K!!!

For real!!!