Alikuwa ameenda exile eastlando but wembe ni ule ule

Si nasikia puff puff pass. Hiyo ni herb ya ku meditate

Playstation

this is today

Kwani huyu boy alikuwa na nguo moja kama vile Johnny Bravo?

[ATTACH=full]92288[/ATTACH]
We we…hold up.Leo ni puff puff pass Tuesday. So …
Bangi iwe guru first plus kuna vitu worse wao huchapa pia kama ma blue pills( bugiz)…sijui cocaine na rooster joints.
PS hawa husmoke shit iko down…hakuna way a good quality weed is real rolled into a shit looking jay like that.There was no luv no bud there

https://www.youtube.com/watch?v=6IS6g3_pp1I

Watu kama hawa wali loose hope maishani kitambo sana

That line reminds me of Chiwawa-Tunaendelea (Klepto Diss)

It is actually from that song.that diss track had some serious punchlines

Kuna video niliona youtube ya a reformed gangster alikuananasema wanaendaga kujifunza uko ngong forest

Link

@admin achana na jirani sasa

…hizo sio fangi ni fegi za Rooster

https://www.youtube.com/watch?v=jdC3ob6nZgc

kumbe hawa ma dame wa kufua nguo pia ndio wana act kama initial surveillance? hiyo story maze…