Aluma Mata/Foma High skul

Mwaka??

Mwaka…kuna wakati hii shule yako ilitoa kijana nambari 1

Kama hukuenda High school unaweza taja Orymo pia

Ni mimi nilikuwa namba moja

Wewe sio surgeon.Hiyo jamaa ilisomea surgical arts pale UoN

Siku hizi nafanyia makunguru surgery pale kichinjio yangu South B.

Is that where you acquired your out-of-this world culinary skills?

Starehe 2003

Wapi ndio ulienda kombo kwa maisha ukaanza kukula chakula ya mbwa?

@LIEN pia ataje orymo yake… twakumbuka hekaya yake ya kunya kwa dawati ya mwanafunzi mwenzake!

Tafadhali @Icecube nitolee hii.

Lo! Watu wa high school. Yetu ilikuwa secondary school tena mixed boarding. My friend unakaa na girlfriend in the same desk; utamu ilioje. Lakini, tulianguka sasawa.

mtu yeyote anakumbuka mahali alienda highschool. anataja midterm, ama closing kwa title(unless of course he/she is a principal adressing students) is not worthy of being more than a new villager na hekaya yake sisomi.

Aquinas High- 2001

Niaje Jakuokwo.
Nimeona foot print zako mahali nikipewa supper.

Nyandarua High AKA Tundra 2012.That place was as cold as cold itself

hizo ni hate speech za injinia banaaa

@grandpa @denis young na watu wengine wa class of 2011+ let’s go create our own threads

Nkubu High School huko meru, tulikua tunaenda swimo kwa rive na kukula avocado kwa shamba za wenyewe

:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D but how???

sisi tulikula miwa banaa