Hii SGR naeza enda hapo na ni book the very day i’m travelling pamoja na return ya Wednesday?? Naplan kutoka Friday 9am if itakuwa gazetted as a public holiday. Isipo, itabaki bus but kurudi SGR.
Nko hiyo area Driftwood. Angalau hii mwaka gharama kashuka pande ya fare na 1600…