[SIZE=3]Usimtafute, huyo msichana atakuja mwenyewe. What if you have met her and you didn’t know she was your daughter and you dry fried in your Nissan xtrail?
only GOD knows[/SIZE]
pamba:
Fixt
:eek::eek: Ama ulinusa panty yake?
pewa @coldpilsner ingine baridi kwa bill yangu:D:D
usilete utoto kwa hii thread my fren
1 Like
Buda hapa noma my fren… mimi nilihepa wangu Kampala…saa hii ako 8 years old…sijui naweza anzia wapi kutafuta… no contacts. Matha yake we met at University games…sijui jina yake in full…sijui alikuwa anacheza game gani…yaani I have no clue. The only thing I know is that we communicated for 6 months after…and then nikapoteza contact…ukipata ujanja nishtue
5 Likes
Look for her before she hits her teens and/or God forbid you meet her and unknowingly your hyena ways fail you again and you pull a Lot on her
2 Likes
culture:
[SIZE=6]Ten years ago [/SIZE]after i finished my 4th form i came to nairofi kuhustle kiasi nikitegea kujoin colle.i was a virgin by then.nikapatana na madem wa nairobi woooi.ufisi nilianzia hapo wadau.nilikuwa naishi pale tena estate kwa ile uwanja ilikuwaga hapo.kwa kanyumba ya mbao jo ukiwa ndani unaona tu kila kitu inaendelea nje.kweli mtu utoka mbali.usiku baridi nayo.but i thank sir Jah for this far…
nway back to the story…nilikuwa na fanya kibarua pale inda kwa mhindi fulani na mshahara ilikuwa 4500.but juu nilikuwa nilikuwa naona mabeste wakileta madem kwa keja mimi nilikuwa tu nazima taa kama ni usiku alafu nakaribia hapo karibu na ukuta ya mbao nasikiza tu vile wanapigishwa nduru.nikasema ata mimi lazima nitafute mtu madze.nilikuwa naongopa kuapproach madem.
kulikuwa mama mboga mahali nilikuwa nakatiwa sukuma ya deni hapo nalipa mwisho wa mwezi na alikuwa na kidem kingine kilikuwa kinauza kashop kake hapo.tukazoena kidogo kidogo nikaanza kurusha mahindi…long story short dem alinitoa uvarjo na tukaendelea kukamuana kama miezi tatu nne hivi.kidogo kidogo dem akaaza kudai anashukua ako ana ball.shiiiiieth.nikamshow aende hosi akapimwe…confirmed.kino.kumeharibika.nikaanza kufikiria kuhepa sasa…nikatafuta keja ingine ya mabati hapo karibu tu but nilikuwa naingia usiku na nikazima ka nokia 1110 nilikuwa nako.nilikuja kuhama hio mtaa for good.nikaenda umo pale karibu kwa chifu.
12months nilskia mlango ikibishwa my fren.kufungua…ndem na mtoi mlangoni,mama yake ,baba yake na aunt yake,kwisha mimi.hadi waleo sijawahi elewa how,when, where,what ,who showed them kwangu. Baba yake alikuwa wa kwanza kuongea.ndiye huyu…dem akasema eeh.nikaulizwa …kijana unamjua huyu.nikanyamaza bado confused but nikakubali eeh namjua.baba yake alinishow kitu moja tu na wakaenda.unajua ann ni mwanafunzi???tunakuachia yeye na mtoto wenu na akuonyeshe kwao hasubuhi mkuje na yeye.shiiieth…and they left.nilichapa yeye kuni hio usiku na mahasira huku akikataa ati hajapona na morning tukaenda kwao.nilitext supervisor naingia job late.kufika huko nikapata watu zaidi ya sita wakinitegea.kijeshi niliingia na nkukaa nao
.wuehhhh…sema kuchapwa msomo.but nilijitetea na kusema dem alinishow yeye ni working class na hakuna shida nikichapa dry fry.nikakubali kulea mtoi …tukaenda supermarket hapo karibu nikafanya shopping ya 2500.thank God ilikuwa mwisho wa mwezi.nikamrudisha home na kutoroka.that was the last time i saw my daughter.[SIZE=6]today she is a grown woman[/SIZE] .but i want to see her.nilifanya makosa .i need to talk to ann but nilenda kweny walikuwa waishi nikapata walihama.sina any contacts…sijui nisaidike vipi
the good thing is that before i married na kupeleka mahari kwa kina bibi i told her kila kitu.and she know i have a daughter mahali.akanishow its ok.kila mtu ako na past.bora tu asiwahi kuja kutusumbua later when she is grown
Relax. Your daughter is less than 10 years old. Certainly not a grown woman.
3 Likes
Afro
August 15, 2017, 10:08am
30
I hope @culture didnt actually use the words ‘dry fry’ in that meeting
1 Like
culture
August 15, 2017, 10:08am
31
she is 7 years now.i need to talk to her before aanze kuuliza mamayake maswali
1 Like
Afro
August 15, 2017, 10:14am
33
I dont think its every one anakuanga interested in meeting their father. I’ve never met mine,i have no idea where he is or how he looks like. Never have i ever been interest. I only heard stories here and there about him when young
2 Likes
Mankind
August 15, 2017, 10:31am
34
“Tell I how did I stray”, by @culture .
Special dedication to dem Rasta!! Pull up…Gee you mercy mama mama mama Tell I how did I stray…
3 Likes
I hope she is married , happy and financially okay to not need you .
And let me see you bashing single mothers again:rolleyes:
1 Like
culture
August 15, 2017, 10:52am
36
DeliciousShiko:
I hope she is married , happy and financially okay to not need you .
And let me see you bashing single mothers again:rolleyes:
i hope she is too.am not looking for her to marry her.i am already married.i just wanna see my daughter
culture:
Ten years ago after i finished my 4th form i came to nairofi kuhustle kiasi nikitegea kujoin colle.i was a virgin by then.nikapatana na madem wa nairobi woooi.ufisi nilianzia hapo wadau.nilikuwa naishi pale tena estate kwa ile uwanja ilikuwaga hapo.kwa kanyumba ya mbao jo ukiwa ndani unaona tu kila kitu inaendelea nje.kweli mtu utoka mbali.usiku baridi nayo.but i thank sir Jah for this far…
nway back to the story…nilikuwa na fanya kibarua pale inda kwa mhindi fulani na mshahara ilikuwa 4500.but juu nilikuwa nilikuwa naona mabeste wakileta madem kwa keja mimi nilikuwa tu nazima taa kama ni usiku alafu nakaribia hapo karibu na ukuta ya mbao nasikiza tu vile wanapigishwa nduru.nikasema ata mimi lazima nitafute mtu madze.nilikuwa naongopa kuapproach madem.
kulikuwa mama mboga mahali nilikuwa nakatiwa sukuma ya deni hapo nalipa mwisho wa mwezi na alikuwa na kidem kingine kilikuwa kinauza kashop kake hapo.tukazoena kidogo kidogo nikaanza kurusha mahindi…long story short dem alinitoa uvarjo na tukaendelea kukamuana kama miezi tatu nne hivi.kidogo kidogo dem akaaza kudai anashukua ako ana ball.shiiiiieth.nikamshow aende hosi akapimwe…confirmed.kino.kumeharibika.nikaanza kufikiria kuhepa sasa…nikatafuta keja ingine ya mabati hapo karibu tu but nilikuwa naingia usiku na nikazima ka nokia 1110 nilikuwa nako.nilikuja kuhama hio mtaa for good.nikaenda umo pale karibu kwa chifu.
12months nilskia mlango ikibishwa my fren.kufungua…ndem na mtoi mlangoni,mama yake ,baba yake na aunt yake,kwisha mimi.hadi waleo sijawahi elewa how,when, where,what ,who showed them kwangu. Baba yake alikuwa wa kwanza kuongea.ndiye huyu…dem akasema eeh.nikaulizwa …kijana unamjua huyu.nikanyamaza bado confused but nikakubali eeh namjua.baba yake alinishow kitu moja tu na wakaenda.unajua ann ni mwanafunzi???tunakuachia yeye na mtoto wenu na akuonyeshe kwao hasubuhi mkuje na yeye.shiiieth…and they left.nilichapa yeye kuni hio usiku na mahasira huku akikataa ati hajapona na morning tukaenda kwao.nilitext supervisor naingia job late.kufika huko nikapata watu zaidi ya sita wakinitegea.kijeshi niliingia na nkukaa nao
.wuehhhh…sema kuchapwa msomo.but nilijitetea na kusema dem alinishow yeye ni working class na hakuna shida nikichapa dry fry.nikakubali kulea mtoi …tukaenda supermarket hapo karibu nikafanya shopping ya 2500.thank God ilikuwa mwisho wa mwezi.nikamrudisha home na kutoroka.that was the last time i saw my daughter.today she is a grown woman .but i want to see her.nilifanya makosa .i need to talk to ann but nilenda kweny walikuwa waishi nikapata walihama.sina any contacts…sijui nisaidike vipi
the good thing is that before i married na kupeleka mahari kwa kina bibi i told her kila kitu.and she know i have a daughter mahali.akanishow its ok.kila mtu ako na past.bora tu asiwahi kuja kutusumbua later when she is grown
@culture i think i know you. Wewe ni ule msee ulikuwa unaishi kwa hio uwanja penye wasee walikuwa wanachezea ball, ulikuwa unatusumbua tukicheza futa tukiwa watoto. Then huyo dem alikuwa mkamba jina i think ni Mt…a if am not wrong
2 Likes
culture
August 15, 2017, 12:28pm
39
:D:Dnot really but hapo ndio nlikuwa naishi.
noma sana… lazima wewe humfikiria kila wakati
1 Like