Another Cop shoots self and girlfriend

Financial education inafaa kuwa must pale Kiganjo

Eti lead poisoning?:D:D:D:D

that’s nice…shida tuu ni stereotype ya kwamba kuona psychiatrist ni shida za wazungu…dealt with a similar case of stress from relatives requesting money…tuli confiscate simu ndio mtu apate peace of mind after taking them to hospital

These are kungurus/cops. It’s not like they are an endangered species. This is a DSF case. (Did the State a Favor). The last thing we want is a mentally unstable cop or a HIV incubator.

Itisha farasi ukuwe unawanyorosha ki ‘Braveheart’ style

Hehehe ,ebu ulizia hao cops baada ya kurushwa rushwa wanakuanga na shida ya mgongo trust me which= anti threashold.Hapo siko

Niko na rafiki mwalimu kama wewe salary ikiingia lazima iishe ndio atoke bar ,loans ako hadi na top up.

Tuwafanyie nini sasa afade, lakini kusema ukweli wewe askari wengi huretire bila kakitu

ungesema tu RWNEBP :smiley: :smiley: :smiley: :smiley: :smiley:

ati riding a horse can impair a man’s threshold abilities ? dagitari Luther ako wapi

Majority of teachers retire na kakitu ( FIXT) mwalimu the world is a jungle ,hustle independently ,kufikiri bahati ya mwenzako pia itakua yako utajichukia.

Kabisaaa, independently

Dec nilikuwa hapo Summerland, it’s a nice pub.

Being posted in your home area is an added advantage.

Its nicknamed “Club Vumbi”, so ka uliona ikiwa poa sisemi kitu

:D:D:D:D:D, naona ka sweep ka umbali lakini ni sawa tu.

Ni vile wewe ni mzito, ingekua nugu type kama @Mosa , ningekupatia S.O.T.Y(Sweep of the Year ):D:D