APART FROM NAIROBI NA MOMBASA

Bondo

Laare

Kuja Kondele mblo

maybe sababu sijawahi ishi huko hata wiki. a few days na najitoa. hizo siku kidogo hua najibaba so that skews my views

anaweza jaribu kama yeye ni bachelor. shida kubwa ni its a relatively expe place to live

Nyairofi

Kapsabet, Kisumu, Kericho, Nakuru, kitale

you do not need any documentations per se to live and work in Kampala , hakuna mtu yeyote hufuatilia hiyo maneno

Nyeri town

reason being?

Kawangware

It’s clean, excellent ambience, amenities, low cost of living…sijui niseme nini ingine…i just like the vibe.

The fresh produce from the markets are full of flavour. Nairobi food tastes bland

Eldoret sikuizi ina traffic jam kama nairobi… parking pia shida. Hufai kucompare na Nakuru hata kidogo boss

Nakuru kuna collection mzuri sana ya Kungurus. All the way from Shiny eyes, dim eyes to wa akina @Eng’iti na wa akina @dark massai

Opoda Farm [SIZE=1]as[/SIZE] [SIZE=1]Taramdaram would say[/SIZE]

Hatutaki watu nakuru. Ndio nakuru ni mbaya chafu imejaa business community na ni mbali sana. Kaa huko uliko

Enda kaKUMA

Hata Rongai has all those

AdisAbuda!