Sawa mkubwa. Project kicking off
Hii wakati WA siasa ndio mzuri WA kujenga,huwa wametulia kiasi,mwaga materials ,utafute mabati Mzee uweke perimeter fence ,one week nyumba uwe unaweka roof
Jenga usiku wakati hawako patrol
Joska ni Mayakos county. Ata wakikuja wajenge yao kidogo. Usipitishe 2k. Na usifuate approvals. Zitakukula pesa bure
Nipatie izo plans nikupange ka bado huja pangwa
Mzito ulijenga ama ilikua hot air ulikua unatupulizia kwa kisogo:D