Are restaurants that charge over 3000 for a meal viable these days?

Baba nani ukuiendelea hivi naona uki-jion list ya endangered species… Sawa :smiley:

:smiley:

:smiley:

:D:D3k for a single meal?

:D:D:D These effing alphas come up with new rules every day. It’s very hard keeping up with everything that’s expected of one.

Huyo unapeleka pale Harry’s. Anakula sembe, choma and call it a day.

You only go there for the experience. Ukitaka kushiba, ingia kubanda where nyama 1kg na kadhalika don’t cost more than 1k.

That’s for sure.

Hio place ina loudmouths wengi from Nyanza and western.

if you make 6figs in a month then 3k ni pesa kidogo sana

Kabisa

Ile jamaa apate lanes zake

including lien mmoja though sionangi wale watu wake

:D:D No wonder anashindanga amejaza server na umeffi ya kimwarer. Hoteli yake gikomba ilikosa towels.

watu wa smoothers tukae wapi…

Any time I am in Nairobi, siwezi kosa kupitia Harries, kuna mmama mmoja hunipikia fish stew tamu sana na sukuma/spinach. She charges around 700shs lakini mimi hupatia yeye 1000shs roho safi and she never dissapoints. Their selection of rhumba is also nostalgic, goes down well with my VSOP on the rocks…

Their choma ni poa sana. Value for your money.

For fish, enda Egesa in umoja. Unachagua na kuchomwa ukiona. Za Harry’s hua zimekaa sana baada ya kuchomwa. Unaweza pewa hata ya previous day.

The owner is Java’s co-founder and FYI they serve aged meats hence the high price

Sawa ntakutafuta…my mouth is watering already my fren :smiley: