Are there RVs in Kenya

Enda case study uku…

Sasa ndio unaongea ingawa perfume yako ya Sansiro e69 inanifanya nijikune makwapa hadi nikifanya presentations.
I

:D:D:D:D… wewe ni fala you are supposed to spary on pulse points …armpits unapaka deodorant. Epuka ufala.

uko na class i driving licence kwanza? otherwise @pamba takula kutoka mikono yako

Mimi hu spray hadi katikati ya miguu,sasa nimejua

Hapa kuna mujamaa amefagiliwa :smiley: