Arenali tunauwa nyoka turudi namba one

Ango leta link ya telekram. Usijaribu kuniitisha 5k ama nitaambia Baba akiingia ikulu akupatie kiti uketi kule---------------------------------->>>>> kwa askari wa kidero

1 Like

tunauwa/tunaua @xuma gani sahihi?

1 Like

chief , leta handle

@JazzmanBass

kwanza angalia Mt Kimilili useme Arsenal mara tano .

2 Likes

5K lazima

1 Like

Chelsea damu!!! Tuma link ama nianze kukuchomea kwa Baba

1 Like

Ntapigia Rajesh nimuambie hii mwezi usipewe advance. Ukiamka asubui ujipake avocado uslide hadi kwa duka ya mhindi

COYG

Ile ya The star. Hata wewe nilikuona ukicomment hapo

1 Like

leo hujasema mimi huwa swara ?

Ishasemwa

1 Like

heheheeheh

as i said Sancez 1- Evertonchieth 0

Goal

2 Likes

Ango, cheza na momo, achana na The Blues…
Na si tafadhali.

1 Like

:D:D:D:D:D injinia kaa nyuma ya arsenal polepole

1 Like

kuna commentator kwa hii game ameniudhi ile mbaya yaani kila kitu ako nyuma ya everton nkkkkkkkkkkkkkt .

1-1 halftime :slight_smile:

Nlisema hii Bukusu ni swara

2 Likes

7k zinanitoka