Arsenal vs Bayern official thread

Kwani imekuuma? Nyonya ndhom polepole ulaze Korodani. Hii ni UCL; until next month, bado tupo

Wacha kusumbua wazito wakicheki mechi, sienzz

1 Like

Hehehe…
Hata Werder huwa haichezi hivi wakikutana na Bayern

FYI am behind you guys today…FOR REAL but left back hakuna robben is bein given space reminds me of rafael

[MEDIA=twitter]831945920069636096[/MEDIA]

Kama arsenal hawachukui kikombe chochote. Na wachukue kura cc @123tokambio

Toka ile siku uliongea mbaya kuhusu Juve, nilikwambia umelaani hiyo Arsenal yako. Swara mkubwa wewe, endelea kungoja maembe chini ya mnazi. FORZA JUVE!!! FORZA LA VECCHIA SIGNORA!!! FORZA BIANCONERI!!!

Get in

1 Like

Sanchez moja; hio inaitwa away goal. Laana tunaachia Juve

2 Likes

Sasa tukae radar

Kama haupo nasi, nenda kalale

Kazi kwisha[ATTACH=full]83776[/ATTACH]

6 Likes

Kama tungekuwa na msee mmoja tu pale kwa wing ama mid ako na work rate kaa ya Sanchez, hawa tungefinya ama iishe draw, lakini Sanchez anajimaliza solo

Wewe ni mshawi

Watu wa Thursday night football mnasumbua

1 Like

Huyo anasikiza ball kwa vernacular radio station

1 Like

Watu wa thursday football wakalale!

Hahaha=“123tokambio, post: 842091, member: 152”]Sanchez moja; hio inaitwa away goal. Laana tunaachia Juve
[/QUOTE]

Hahaha! Endelea kungoja maembe chini ya mnazi

1 Like

Next week niko nawe na hako ka-Juve kako

Excellent first half in both matches. Watching at the local “kamua mfuko” :).

[ATTACH=full]83777[/ATTACH]

1 Like