Arsenal vs Liverpool Official Thread.

Man, Arsenali natembezwa kama bike ya Gio.

1 Like

Tutaona huyu jamaa wenyu vile atacheza

Hahahaha ati ā€˜whateverā€™ Uniform ya Liverpool iko poa?:D:D:D

1 Like

Kwani nyoka ya Arsenal imefanywa niniā€¦

maneeeeee hahaaa

1 Like

Liverpool inauwa nyoka

1 Like

Mane the main man, umeona hiyo?

1 Like

Construct a sentence using the word nyoka and wenger.

Watu wa Arsenal tayarisheni ā€œwenger outā€ banners

Chelsea walikuwa na ā€˜Uniformā€™ poa leo?:D:D:D I think ni Uniform ya Arsenal inawaharibia hii mechiā€¦

1 Like

Liverpool,ynwa,great game

1 Like

Bado second half inacomeā€¦
Either we draw or tutoke 2 - 1

2 Likes

Poor team selection by dinosaur wenker.

2 Likes

Arsenali tuseme wanamaliza hii season wakiwa ata nje ya europa. Zile injuries watapata wakifika zile shamba/pitch za serbiaā€¦:D:D

3 Likes

Ozil mauzo continues. Same weakness from last weekā€¦

123 to kwa mbio a kit is also uniform ama unataka nikuwekee what uncle Google says.

Huyu chali ni kaa anataka kutoka. There are even rumours of Mustafi wanting to leave.

Halafu hapo mbele mbona akaanza na Welbeck? Halafu anaacha Lacazette na OG 12 bench.

Nimekubali, but ebu nichekie Tottemhams wamevaa Uniform gani, juu wamekaziwa na Burnley sanaā€¦

Ni mshande tu anataka, na kukaa nyuma ya Wenger, coz wenger entertains his lazinessā€¦

Pace jamaa, something that Laca na OG12 lack in such encounters, but i expect at least one of them to get inā€¦