Arsenali inakula nyoka

injinia leo tunakula nyoka

mwambie akuom tumuactie

FUNDA WEWE! AKI TUKISHIKWA DRAW UHAME KAYOLE
[ATTACH=full]79559[/ATTACH]

2 Likes

Cech tulia leo unameza clean sheet .

Ramsey ni ngombe

Manze si maboy za Man u zinakazaa mcoondu tuwekelewe

2 Likes

Haka kateam kamejua Arsenal huanza game slow 1st half so kanatafuta bao ya kwanza then kakaukeā€¦

hakuna watu wajinga kama panya za Man u

leo wenger ameambia vijana wa settle down first 15 minutes ndio tuanze kuwa raid

Ozil leo Ana-delay sana

2 Likes

Hii swara @uwesmake inafanya tusifungeā€¦Uwes tunakuomba usiwai tena weka thread ya Arsenali

~Courtesy of KTALK Arsenal teamā„¢

3 Likes

Kumbe hata wewe unawatch. Anakuwanga mzembe sana

Sasa na hakuna minions wa admin mwenye ni Gooner, tungekuwa tunamshow aban hio ngombe ya Kiminini saa ile kuna game ya wazito

Mimi huwatch (ubaba mob).

2 Likes

He he he!

Woooiiii draw ntakuwa inje Kama jay baby boy

1 Like

What TF is Ramsey trying? Umbwa yy. Ati scorpion kick

nani amekazaa rasaa hivi

but bao inanukia

Manze hio ukuta ya Burnley ninoma kuliko wall ya trump pale Mexico