Asanteni wenyeji wetu kutuhifadhi kwa muda

Anazingua sana aisee

Habari zimfikie jiwe

Aisee. Ushakuwa senior villager ? Hahaha

Jiwe hasikii

Anafanya kama yuko nyumbani kwake

Kashajimilikisha nchi bana

Atasikia tu leo nimetupia link kwenye majukwaa ya ccm na siasa utaona mafuriko huku

Sidhani kama tutakuwa huku kwa muda, haya yanaweza kuwa makao yetu ya pili hata baada ya JF kurudi hewani…

Mi nimepatikana,tuko pamoja members,siunajua tena tulivyokuwa addicted na hii kitu…

Kinachotokea sasa ni kama ile series ya THE CROSSING.
Yaan wahamiaji tunakuja kwa mafungu na majina tunabadili

Inapendeza…

Cc: @Mahondaw