Asilimia 95% ya wana Jf tulio humu hatujawahi kufungua Majukwaa ya Kenya talk.

Hakika mnastahili pongezi

mimi sijawahi.

Jana nimeingia katika mojawapo ya majukwa yao aisee ni shida,lugha sijui kiswahili gani kile.

Lina vitu vizuri??

Kabla ya kuzimiwa JF tuliomba sana jukwaa la Tanzania lakini wakei (mods) wala hawakutaka kutuelewa.

JF ilivozimwa wakaona soko limehamia kwao

:D:D:D:D:D… Niliingia kwenye mjadala mmoja nikaishia kucheka tu, jamaa wanashushuana ile mbaya…

Hawana Nyuzi Constructive

Mimi siingii huko naogopa kuharibu kiswahili changu…

Nikiyafungua huwa napata kizunguzungu

Ndio ujifunze hiyo lugha yao sasa Evelyn, si umeshaingia kwenye nchi ya watu, utawasiliana vipi na kama kuna mwanaume wa kikikuyu akakufata kutaka ‘kuunga udugu’ utafanyaje?

Na ndio maana ya ukimbizi, hamuingii katika mitaa ya waliowapokea mnabaki kambini tu hadi hali itakapotulia kwenu, kwasasa ngoja tuendelee kukaa huku kambini kankuma

mkikuyu anataka “kunguru”

Mnaelewana lugha mkuu?

Sasa si unabadilisha mind set yake? wao kama wachaga wanataka mdada mwenye kuchapaa, hahahahaa, labda wajaluo wao wapo romantic kidogo

Eti wanataka mdada mwenye kusaka chapaa!

Hawana point sometime, criticism kibao

Sisi Watanzania Wajaluo kwenye hayo majukwaa tupo sana tu.

Hilo ni kweli kabisa ndugu, kuna uzi mmoja wa kimombo wa kwao nilicomment kwa kutumia Lugha ya malkia cha kushangaza niliambiwa improve your grammar. Lakini wao wanaandika KISWAHILI kubovu lakini sisi tunakaa kimya tu kwani lengo letu ni kupata maudhui na sio kupima Lugha za watu.

Fuck em. they deserve Dole la kati sometime. ila twende sawa

Mm kwa kweli naona km ni watu tofauti na sisi kwenye tabia.