assist elder anunue simu

Swafiiii huko najua Una cheza hide and seek si polisi si Gaza.

Indeed it is. A 2018 model with a meagre battery at that price point.

M31 128 gb ?

hii website yako una click inakataa

Plus 6Gb Ram and 64Mp camera @ 26.5k and a decent battery.
M series Samsung not as popular as A series in .ke market so you will not easily find accessories for it.

Tecno ni ghassia
Natumia c12 na inasumbua na inbuilt ads na poor internet connection

Infinix vilevile…those ads wueh. I would better pick Samsung or iPhone mara moja.

Hizo inbuilt ads pamoja na “telemetry data” ni guzzler ya bundles pia. By owning such a phone you are the product and not the customer.

:smiley:

ahsandeni nimeamua to pick between Samsung M31 na A51

:oops:30k zi buy phone moja na ziishe…!!!
Wakati mimi natafuta 25k nianzishe biznar… [COLOR=rgb(40, 50, 78)][SIZE=1]ucio ni ngoma [/SIZE]

M31 was launched recently primarily for the Indian market

Aiii ni Mungu tu hapa

K

kanjo utafanyia nini kando ya mabega au utakua fugitive on the run.

Nilikuwa nimesahau ulizaliwa 1930 haujui mambo za www …link ndio https://www.getwired.co.ke/

Which bizna do you have in mind Elder

Achana na mambo ya ‘frens’ na hii Corona. Those people are super spreaders, zoea kwako ugonjwa iishe nani. Utalipia ugonjwa/kifo na simu? Kenyans hampendi Maisha yenu. Saa hii ndio peak inaanza upto Jan mutakufa kama inzi heh. Shine on your way.

Cayole iko sawa

By the way I would like to know :D:D, I will invest in it.

You should really consider Oneplus 6, someone has recommended it and it’s pretty awesome compared to others

hizo funny brands nimeachia hasora kwa sasa