Assorted odds za last sato of 2018

Unaonesha nani betID?..wacha nikunike

Mbona unajipa pressure hivi??..utajiumiza bure bado game moja itachapa…tafuta odds kama 1.5 mpaka 2 kufa nayo

Am human so nianike ukitaka

Ferre kood Lakini me Nauliza this OV25 YA REDS NA GUNNERS watu wanatoa wapi, my take is gunners win with a solitary goal.
Anyway ngoja pesa. I must say nice selections

Iyo pesa Si ya mama ya mutu

I can’t do that… Kuanika ni umama…Nakam na 2 odds wazimu hiyo ni direct win

watu nangojea

Gunners will loose with a solitary goal

LIVARS iko na Btts na over 2.5 i predict a 2-1 scoreline in favor of either home or away teams

Game kama hii usiweke win or draw…tafuta kitu kama yellow cards ama corners…najua Liverpool will smash over 8 corners

Liv

Liverpool and Tottenham, rekebisha

Makosa imefanyika

Arsenal’s game weka ov 2.5, Tottenham wekea Tottenham

EARLY RESULTS [ATTACH=full]217475[/ATTACH]

let’s call curse Celtic

Don’t, that’s one odd that went well, under 2.5

Uliweka?

Yes, under and juventus over 2.5, plus Ile ya India ov 2.5

good for you. Aya Lete screenchot tuone. An alliance is being realized here and we want people who know what they are doing

multi bet ni kitu mbaya sana just see what Rangers Vs Celtic spoiled every thing

[ATTACH=full]217488[/ATTACH]