At this rate

sawa lakini chunga the 40th day is coming full retribution…

1 Like

@Ice_Cube kwa nini umetoa hiyo mbisha?

Na amevaa kinyasa ya pink :D:D:D:D

Hiyo iko in the past …huyo boss alienda Japan kitambo

Pengine makucha …how about that?

Yaani unaanika wageni wako online ?

nimekata uso sio mgeni per se lakini

Hope huna Atwolisizm, ukuje uumize kiyana wa wenyewe, on that note weka picha ya Diva pia nijue siyo Bull Dance

1 Like

:smiley:

Si yako tulishaona ile ya pink umelala kwa beach.

atwolism? naah buana diva nitaweka jioni nikitoka

hahahaha,Aweke picha ya empress tuone.Mawezere tosha tujue taste yake ni ipi?

What? What? What?

Kuna mbicha ilipostiwa hapa ya a lady in a pink bikini on the beach looking up into the camera hata wewe uliapprove of the thighs. I assumed ni picha yako.

Hahaha Nah. That lady was hotter than me.

1 Like

[ATTACH=full]8093[/ATTACH]

7 Likes

@Purr_27 Toe nails ni za miguu:D:D:D:D…Bado nakupeleka Monaco. Lol.

1 Like

mimi naogopa makucha, if I go for a swim after…ttttt watu watashuku naishi na paka nini!

Kwanza hizo huwa ngumu zinakaa za Wolverine …:cool::cool::cool:

He he …Naona kama mnaniplay hapa Unicorn weka picha , Old monk uko na toe nail fetish ?o_Oo_O