Ati nini vile!? Hahahaaa..!

Sasa nkuulizie wapi, sina pa kukupata!!!
Hebu ukuje huku kwa chumba cha wageni

Cc: mshana Jr

Aya nakuja

Yeah ! Ni kweli umeumbwa kwa ajili yetu, lakini siyo lazima kufanya hivyo, unakuta binti ana tatoo kwenye t*ko lakini atatufuta tu namna ya kuwaonesha wanaume wengine hata kama tayari ana mpenzi wake.

Unanitekenya…

wadada wa mujini,hapo hata kufua chupi zake hataki kisa kaeka kucha mpya

Sawa babu ake

Mambo yao waachieni wenyewe…

Cc: @Mahondaw

Khaa umeibuikia huku! Missed u anyway… Mdogo mdogo huku na vibinti vya Kikuyu… Angalia tusikuache huku hahahaaa

Hahahaaa

Niko makini. Usisahau niko na my wife @Sky Eclat huku Nakuru

Ji

Jifunze kuniita shemeji. Hujui dadaangu huyo

Sikukuona kwenye mahari…

Nilikuwa safarini Msata loh