Away from the politics

True, hao vijana walikufa kaa soh mbili kukatulia, tulikuwa tushakua a regular feature hapo kariokor Makaburini, tukielekea kuwasitiri, juu walikuwa wanakufa 2or 3 in a single day.

Johnny Mandevu, his is a popular candidate but bad news. Jamaa was instrumental in grabbing kiwanja ya mosque ya majengo as a legal advisor to the mosque, hiyo Mumbai mall unaiona hapo is his handiwork.

:smiley: :smiley: :smiley:

Noma sana. na ile hotel iko hapo roundabout Eastleigh ni yake? I forget the name.

Nomad, Diamond ama Grand Royal?

Grand Royal

Hapana, his is Ramada Restaurant in the 12street. Used to be his campaign HQ back in 07 and 2011.

hao ma AP wameshawahi kunishika war sitawahi sahau. @Tarantinoh unakumbuka time ma extension zilikuwa zinabomolewa, walipata ndio nimetoka system ug na sikuwa na jua kunaenda aje and i was home alone, kumbe their previous attempt at demolition, walichapwa. so mimi nikabebwa pamoja na a few other guyz. kufuka huko tulipata tumengojewa na manyahunyo. kutoka hiyo siku sijawahi skizana na AP.

ngoja watu waende caanan alafu uleti this taaaaaaaalllllll tales

Time ya Aketch akiwa Mayor.

Plus one more to carry the cash. How dare you forget that?

Yusuf Hassan clinched it, What the peasants have to do for Uhuru to get Warias vote, elect an absentee mp, who is always global trotting.

Lazima Yusuf aliguzisha Simon Mbugua kitu mzito

The Jubilee party gave him direct nomination to the east African assembly, and paid his campaign expenses:D