Baada ya kupigwa "kibuti" na Mtanzania sasa nahitaji Mkenya

Bana wee! Najua kuna watu waliondoka pale wakisema waKenya wana tabia mbovu mno kuwaza wanachofanya bibi zao chumbani.

Mkuu nilikua naulizia watu kama Lwitiko umeshakuja, nashukuru kukuona.

Sijambo my sweetheart, unayaonaje maisha ya uhamishoni? kweli @tcra wametutenda visivyo

bibi za kenya zinapatikana kona gani?

wakenya njooni huku mukule nasisi

Ha ha haaa…

Kusai

Mafuriko PM ya kufa mtu…nasubiria kukwea pipa mie

Hahahaaa. Kila la kheri mwaya japokuwa ka mie hawanifai hao sababu nawafananisha na wakurya.

Kwa mbaali naweza kuwaelewa wale wa kule kwetu Mombasa.

CC. @Sesten Zakazaka. Hahahaaa. Lol

Unanitisha mkuu…hivyo wanapiga kama wakurya…na nilivyomlaini…wataniweka makovu jamani

Sina hakika ila nikiwaona kwenye Ma Tv huwa najikuta nawaweka huo upande tu mie.

Cc. Majirani

ni tofauti kabisa. kenya wanawake ndio wana wachapa wanaume.

Hahaaa. Lol.

Kumbe wanaume wa huku hawafurukuti kwa wakr zao lol. Pole yao. Hahahaaa.

Nakukaribisha kwa mkwaju mkunjufu(9 inches)

Nyanya Rukia lol :D:D:D:D

Wewe mutu umekua adimu sana!

Njoo huku

Ngoja nipate beb wangu nikamdunde ha ha haaa…

Nipo my dear nipo… Eid Mubarak

Eid Mubarak pia, washtue na wanna waambie now tumehamia huku

Pole sana…

Cc: @Mahondaw