Baadhi ya Watu mna vituko mno na mawazo mgando

eh ndiwoo au ni yako? unaona wivu unaitaka??

Matusi hayaruhusiwi nchini hapa, wee mkimbizi vipi? Utarudishwa kwenu.

huwezi kuja na hoja za kipumbavu harafu uachwe tu

leta hoja yako tuione kwanza

imagne

Wapi umeona nimetumia hilo neno? Kwahiyo kila mtu akikuita malaya nawewe utajiita malaya kwasababu umeitwa malaya?

Tulia usubiri mume wako aje

Stupid huku unatafuta nini sasa, kaa kule uwaunge mkono kuwa hawajatimiza vigezo. Jitu la hovyo. Waunge mkono kwa kutokuja huku.

now who is stupid? hizi unaongea porojo mimi nimeweka hoja yangu na ww bisha kwa hoja sio matusi

punguza jazba kwanza, acha kupanic

basi tukubaliane kwamba sheria zilizowekwa zikifuatwa mambo yote yatakua sawa

Uko sawa kwenye hoja yako. Kimsingi jf wameifunga wenyewe ili kuona kama wanaweza kukidhi mahitaji ya hiyo leseni na wala tatizo sio hela.

Sasa tuje kwenye eneo la msingi kuhusu hiyo sheria ya mitandao. Sheria hii sio shirikishi na wala sio halali kwani ni sheria yenye nia ovu hata kama imepita bungeni. wote sisi ni mashahidi sheria nyingi mbovu zimepitishwa na hilo bunge na hatimaye kuisababishia nchi yetu hasara kubwa za raslimali. Hao jamii forums pamoja na blog mbalimbali hasa zenye taarifa za watu ambao wanaikosoa serekali kama watakubaliana na hizo kanuni zenye nia ovu ya kutoa taarifa za watumiaji kisha waishie kudhuriwa na serekali. Na ujinga kwa mitandao ya kijamii kutii baadhi ya sheria zenye nia ovu za kutaka kunyima haki za raia za kutoa maoni yao kwa uhuru hata kama hayamfurahishi rais. Ni bora tuendelee kutoa maoni yetu huku uhamishoni kwa uhuru kuliko huko nyumbani kwenye hatari ya kupoteza maisha.

uko vizur xana mama endelea kuwatoa povu.wameelewa na ujumbe umeshawafikia

Hiyo sheria umeisoma vizuri kweli? Kwanza hiyo gharama ya kupata leseni ni kubwa waambie wapunguze.

hiyo haitamaanisha kwamba watakua wanatakiwa wa expose identity za watu sio kweli katika hili… umeandika as if jf na blogs zikilipiwa leseni zitakua under control

hahaha hatari sana ndg yangu

Ni ujinga wa kiwango cha juu kufuata sheria zenye nia ovu zinazopingana na katiba ya nchi. Katiba inaruhusu kutoa maoni kwa uhuru bila kuingiliwa na mtu yoyote. Iweje haki ya kutoa maoni idhibitiwe na kikundi cha watawala? Ndio maana watu tumeamua kujiongeza tunatumia uhuru wetu huku kwa jirani wa kutoa maoni mkiwepo nyie mnaounga hizo sheria zenye nia ovu. Tulitarajia nyie mngeanzisha forum yenu huko nyumbani kisha mkate leseni, muwe na verified Id[COLOR=rgb(20, 20, 20)], kisha msifie mpendavyo. Sisi wakosoaji tuendelee huku huku uhamishoni.

Inanuka hatari

Ndugu usidhani wote humu ndani ni wajinga au hatujui nini kinaendelea. Masharti ya hiyo leseni ni pamoja na kuwataka wamiliki wa hizi forum na blog kuexpose details za watumiaji pindi zinapohitajika. Na hilo limeshafanyika sana toka utawala wa awamu hii uingie madarakani. Na walengwa ili kudhuriwa na serekali ni wale wenye michango negative kwa serekali kwani haitaki kukosolewa.

Hali hii ndio imechangia wamiliki wa hii forum kuifunga ili kulinda usalama na haki ya kikatiba ya kutoa maoni ya wanachama wake. Hiyo sheria ya mitandao ilitungwa wakati wa JK yeye na kikundi chake chenye nia ovu na kisha kuja kupata kukaziwa kwenye serekali ya awamu ya tano, kupitia wabunge wa ccm kwani ndio wengi na ndio hutumika kama rubber stamp ya mambo ya serekali, na awamu hii ndio imekuwa na nia ovu ya wazi dhidi ya wakosoaji wake kwani wengi wamepata ulemavu na hata kupoteza maisha na hilo lipo wazi. Kwa hiyo naomba nikuambie hiyo sheria ni sheria yenye nia ovu hata kama imepitia bungeni, na wote tunajua udhaifu wa hilo bunge kwenye kupitisha sheria mbovu za kulinda maslahi ya chama.