Bajeti ya Tanzania 2018/2019 kusomwa leo jioni.

Vilaza kwa kwenda mbele…ama kweli watz tumepatwa kama mwezi haki ya nani

Bajeti napanga mimi na mke wangu

Danganya toto, bajeti anapanga mtu mmoja tu akiwa pale magogoni wale wengine kazi yao ni kugonga meza tu

Bajeti ya Kenya ndio iko juu kuliko zote Afrika mashariki

Punguzo hilo ni kwa wawekezaji wapya kwenye sekta ya bidhaa za ngozi na kitukama hicho, na ni grace period ya miaka 5 tu.
Lakini pia wameahidi kuangazia mazingira mabovu ya biashara nchini na tozo nyingi za ajabuajabu. Pia kuimarisha uhusiano wa TRA na wafanya biashara

Kurasa kibao za kwanza za hotuba zimejaa sifa na utukufu kwa jiwe, baada ya hapo shukrani za kutosha. Kusoma hizi hutuba inataka moyo, ndio maana wabunge wanasinzia bungeni

Kweli mkuu nilimsikia vibaya Mpango.Lihotuba lilijaa masifa kwa jiwe mpaka ikabore!

TAARIFA imepangiliwa vizuri. Mimi napongeza kwa jitihada za kuimarisha mfumo wa mapato na matumizi pia. Sijui km tulichelewa kutumia efd au wakati ndio sasa hofu yangu na haya mamifumo huenda wahasibu wasiwe na deal tena. Matarifa kibao itakuwa ni kuprint tu si tena kukaa mahala mwezi kufunga hesabu.

bajeti haiwezi kumuinua maskini