Bajeti ya Upinzani Yafurushwa Bungeni

Kwa maana hiyo unataka kusema budget ya chama tawala ni ya kujikosha au?

Labda ilikua na mambo mengi ya kukosoa na kuelekeza ndiyo maana imezuiwa…

Cc: @Mahondaw

Yaani kwa sasa hata ambaye alikuwa anawaona upinzani kama wakorofi anajilaumu kumbe alikuwa anakosea!!kama ni maonevu yamezidi sasa

bongo ni ngumu sana,yaani wapinzani ni wachache sana,cha chakushangaza na wananchi nawakubali kuona wabunge wa upinzani ni wachacheoendeleo,ndio maana nchi hii haina ma

Nimeisoma hapa Kenya talk hakika jiwe aka dereva Wa lorry aka sijonze kweli angeua MTU ndo maana ndugai ametafuta sababu mfu kwa hakika inamuumbua huyu anayejifanya mungu mtu
Kwa kua

Nchi hii inaendeshwa na MALIMBUKENI na WASHAMBA wa Madaraka!

Taabu sana. Kuna viongozi wana mafilifili vichwani badala ya ubongo.

Ni lipumbavuuuuu!