BAK in DA House hamjambo jambo humu?

Wametubananisha tena huku kwa dhalimu kisa uchaguzi.

Kazi ipo, safari hii sijui watabana kwa siku ngapi?

Uhuni uliofanyika kwa uchaguzi wa jana, saa hii wanakimbizana na muda ili wamtangaze rais kisha ndio waachie mitandao.

Botnet storm strikes again. bots/multihandlers kujiongelesha… Admin banae…