Ballers

Nikikuwa nimepeana flash disc, ikakuja na hiyo ballers,thot ni zile series za ujinga nika delete, ni kama nitaitafuta naona iko yuu

Pombe na wanawake=Deadly concoction.

penda mboga @bouss . it’s good for you na wakulima wa Kinangop wanakuhitaji…

[ATTACH=full]14093[/ATTACH]

1 Like

Kuna ile part huyo kijana mandevu alidry fry mama ya team-mate wake. Nilipenda sana io momo. Hii series nilikua naifollow per episode.

Tunakuelewa ni gari huna… team footsubishi ni poa lakini unapunguza mafuta

1 Like

Nitatafuta hiyo Ballers.

Yea, wanawake are also material things to be owned and used for ecstacy and then disposed after use just like beer

1 Like

i detected jealousy wrapped in sympathy

1 Like

Hehe mujamaa hii yako ni mbathi ya kampuni ama hio tag ya white ni ya nini?

1 Like