BASATA yaufungia wimbo wa SUGU

Jamaa kwenye wimbo mbona kaongea ukweli mtupu!!!..hawa basata wanatumia akili au ugoro??

Hawataki ukweli usemwe. They can’t live with truth

Watu tunao huo wimbo kitamboooooo

Zama za mawe za sasa zenye watawala mapunguani.

Hizi ni
zama za mawe za sasa zenye watawala mapunguani.

Sasa mkuu unasahau tena kwamba UKWELI ndio hawaupendi na ndio hawataki usemwe

CCM washamba sana.

Hao jamaa akili zao zimeshikiliwa na Jiwe!

Time will tell…

Cc: @Mahondaw

hapa chini ya jua ogopa mambo mawili tu
teknolojia na Mungu aiseeeee anytime time unaumbuka

Hata wakiufungia message sent.

!
!
Aisee… Safi Mbo

Ila nimeshangazwa sana kuwa ukiandika wimbo kabla hujaotoa unapeleka mashairi BASATA. wanaangalia kama hayana maneno ya Uchochezi kisha wanakupa go ahead. huu ni ‘upuss’. Nchi inarudi nyuma.

Ile Clip hata sijui ina tatizo gani hadi ifungiwe! Hizi ni akili au tope?

[ATTACH=full]178172[/ATTACH]

Tayari unatrend km kawa

Jamaa kaandaa 6 advocates kwa ajili yao!

Duh!..

DUUUU KAZI IPO SASA HIZI NGOMA ZA ASILI ITAKUWAJE NYIMBO ZIPO TANGU KABLA YA UHURU SASA NANI ATAKAYE PELEKA NYIMBO HIZO STUDIO MAANA VIKUNDI VINGI VITACHEZA NYIMBO HIZO SASA ITAKUWAJE .