Bashite apata mtoto wa kiume amwita Keagan Makonda

Insemination ndio neno sahihi

Shivooooooooo!!!

Sawa nimekupata Insemination … artificial insemination. sasa walikwenda china?

Kutoka kwa mdau JF original

Nani anaepata raha sasa; wa kumimbishwa au kumimbisha?
Ooops! Nimegundua…! Watu mna maneno!

Ni dhambi kutumia nguvu nyingi na Mali nyingi, angeweza pia Ku adopt Mtoto yeyote wa mtaani Tz kutimiza kiu yake.

Aisee! Mungu akunyime vyote Ila asikunyime kumtia mwanamke mimba kwa kojo zito,hili la kuweka mbegu kwenye chupa ya juice sio poa
Nalog off

Hebu rudi nyumbani (JF) ukaandike hivyo! Utakula ban ya maisha!

Na kifungo jela juu!

HAAAA HAAAAA NIMECHEKA KWA SAUTI MAJIRANI WANANISHANGAA KWANI NIPO NA MPAKATO VALANDA

[SIZE=5][FONT=times new roman]Duh…hongera zake ingawa juhudi kubwa zimefanyika mpka kumpata kiumbe huyo hatimae DAB nae baba fulani. [/FONT][/SIZE]

kwa hisani ya test tube!

KEEGAN BASHIZO

Yani ashamtengenezea mtoto jinai huko mbeleni kwa kumpa jina feki.

Nasikia wanasema nusu sura kafanana na SITIVU NYENYERE na nusu iliobaki kafanana na Le Mtumboz Le Kibamiaz

Huu ni ukiukwaji Mkubwa wa Faragha ya Mtu…!!! Naumia sana Moyoni kwa Haya Musemayo, Mungu awasamehe kwani kumbuka Hujafa Hujaumbika

Hebu ona wakuu wa mikoa wake Mrisho Gasho = shoga wa arusha na huyu si riziki wa dar! Ni mzibuaji huyu megafool

Kuna Mburura za lumumba zimetoka kule JF zikionya tusimtukana Dikteta au huyu mwanaye si riziki. Mimi nitawatukana matusi yote yaliyo ahera na duniani labda wawarudishe ndugu zangu wawili waliowapoteza na kujitia watu wasiojulikana. Yule si riziki mlimuona pale Airport akitamba kuendelea na mchezo wake wa mauaji na utekaji!! Siwaachi!!

Word!!!&&&