Best Clubs in Mombasa

Inaitwa nini hiyo place?

Four zero I think

Opposite Bela inaitwa zero 4. Iko fine sana

@njoti tembea Kenya uwache kusumbua wazee.

Club 0 four haiko opposite bela vista idiots kwani you don’t know your bearings. Zero 4 iko opposite post bank, tembeeni Kenya and stop listening to other people’s stories

@Wechez I’m “the mayor” of Mombasa utaniambia nini wewe

Wewe the only place you know in Mombasa ni mwembe tayari na likoni ferry where you procure puthi for fefte bob

Zero4 here wi kam. @njoti, walimu wametoka huko ama bado?

Hehe…you are right…huyo jamaa anabishana ni story aliskia…hio ndo local yetu watu wa ganjoni…its a nice place

Opposite postbank? Kwani casab ilifufuka?

casa b bado iko…located along mnazi mmoja road opposite gapco petrol station

Sijazoea kuklab kisiwani lakini this time round lazima nitakuja niangalie hiyo place ilivyo

:D:D:D:D

inaitwa ZERO 4 na haiko opp bella iko opp ivory moi avenue

Kuna Moja Moto hapo Mtwapa …

[ATTACH=full]178928[/ATTACH]

Kinasema San siro

Kilabu hiki kimechapa sana

danka. iko mtwapa

Ni Total sasa